Monday, August 24, 2015


                 Kaka David Adamson akiimbisha nyimbo mpya inayoitwa "Neno lako".

                   Voice of healing wakihudumu kanisa la CAG jumapili ya tarehe 23/08/2015

                Roho Mtakatifu akiwahudumia watoto wake


                            Wainjilisti wakifanya maombezi
             
 





         Mtumishi Lonyoli Mengelana akihubiri kuhusu karama za Rohoni


     Muinjilisti Lonyoli Mengelana akihubiri kuhusu karama za rohoni

  Wainjilisti wakihubiri kuhusu karama za Roho Mtakatifu

Tuesday, August 18, 2015



            Kaka Meshack na Dada Neema wakimuimbia BWANA


                Hakika Bwana Yesu ni Mwema( kila mtu anasema u Mwema!!!!)


                       Dada Aneth akiongoza tenzi za rohoni wakati wa kumuinua Mungu mwanzoni mwa ibada
                                                                                                                                                                                       
hakika Bwana Yesu ni Mwema( kila mtu anasema u Mwema!!!)
 
 

FLASH BACK ZA OUTREACH YA KIWANGWA-BAGAMOYO JULAI 2015


SAFARI YA KIWANGWA-BAGAMOYO PWANI KWENYE OUTREACH-MISSION


 CASFETA-TAYOMI praise and worship team wakimtukuza Mungu siku ya kwanza ya mkutano


 Baadhi ya watu katika picha walio hudhuria mkutano katika siku ya kwanza
 walio hubiri siku ya kwanza ya mkutano Ev. Lilian Lugendo na Graceana Mwinuka



 makutano ya watu walio hudhuria mkutano katika siku ya kwanza


 Huduma ya sinema na injili wakati wa sinema nyakati za usiku
 makutano ya watu walio hudhuria huduma ya sinema nyakati za usiku

 makutano ya watu nyakati za sinema
huduma ya maombezi katika siku ya kwanza

Monday, June 15, 2015

THANKSGIVING CONCERT @ LUMUMBA GARDEN MZUMBE UNIVERSITY


 MATUKIO KATIKA PICHA YA TAMASHA LA KUMSHUKURU MUNGU LA KUSIFU NA KUABUDU LILILO FANYIKA TAREHE 5/6/2015 VIWANJA VYA LUMUMBA GARDEN MZUMBE UNIVERSITY-MAIN CAMPUS MOROGORO
Tamasha hili liliandaliwa na wana casfeta-tayomi wa chuo kikuu mzumbe, wakishirikiana na Kiango media group kutoka Dar-es salaam.
Maandalizi ya tamasha wakati wa mchana kabla ya tamasha




Picha mbalimbali za kipindi cha kusifu na kuabudu wakati wa tamasha...huu ulikuwa wakati wa usiku,tamasha lilipo anza.

 
Kaka Samwel Kazimili(mwenyekiti wa casfeta-tayomi Mzumbe university)  akimsifu Mungu.
 Baadhi ya umati wa watu waki msifu Mungu.
 kaka Elia Mhenga(mwenyekiti wa kwaya na kusifu na kuabudu), akiongoza kipindi cha Kuabudu



Meza kuu, waki mwazimisha MUNGU ,katikati ni Askofu Ryoba wa kanisa La CAG-morogoro mjini
baadhi ya  KING's choir pichani  kutoka CAG kwa Askofu Ryoba, waki mtukuza MUNGU
 Askofu Ryoba pichani, akihudumu kwa neno kwenye "ThanksGiving Concert " Mzumbe Chuo kikuu

 Mwimbaji Paul Clement akiimba katika tamasha hilo, na waitikiaji wake walikuwa ni Kings Choir kutoka CAG-morogoro mjini
 Paul Clement

 Mwimbaji Atosha Kisavo, alihudumu katika tamasha hilo.

 ATOSHA KISAVO





Monday, May 25, 2015

THE CHOSEN GENERATION PRAISE AND WORSHIP CONCERT AT LUMUMBA COMPLEX MU

Matukio Mbalimbali katika Picha kuhusu tamasha la kusifu na kuabudu  lililo fanyika tarehe 22/5/2015 Lumumba complex mzumbe chuo kikuu.


 Mwalimu wa timu ya kusifu na kuabudu, Kaka Sharoni akiiingiza timu yake uwanjani

mpiga dramu akimsifu Mungu

mpiga besi gitaa Bro. Hafsidi akimtukuza Mungu

Kaka David  Meza kulia na Kaka Erick Kanju kushoto wakimtukuza Mungu kwa kinanda na piano
 Kaka Calvin Ponda akimtukuza Mungu kwa Ngoma(malumba)






Sauti ya tatu wakiigia ukumbini
 Sauti ya pili wakiingia ukumbini
 Sauti ya kwanza wakiingia ukumbini
 Kiongozi wa sifa No.1 dada Groly Uhagile akiongoza sifa



 Kiomgozi wa sifa No.3 kaka Joseph Mnembuka akiongoza sifa




 Kiongozi wa sifa No.4 dada Sophia Godfrey akiongoza sifa

Kiongozi wa sifa No.2 kaka Nathanieli Senje

kaka elia Mhenga, mwenyekitu wa kamati ya kusifu na kuabudu aki simamia nyimbo zinazo rushwa moja kwa moja kwenye projecta.

Mgeni Rasmi ambaye pia ni mkurugenzi mkuu wa Muruwasa akihudumu kwa neno

 MCC kwaya kutoka TAG- Mzumbe wakihudumu



kings chour kutoka CAG -morogoro mjini wakihudumu


 kikundi cha TUKASA mzumbe chuo kikuu wakimsimfu Mungu

 IT-Bench dada Perazia akichukua matukio muhimu katika tamasha la kusifu na kuabudu

 Shughuli za ujasiriamali zili endelea wakati wa tamasha
 Baadhi ya wana USCF wakimtukuza Mungu katika tamasha


 kikundi alikwa kiki mtukuza Mungu

 meza kuu wakimwabudu Mungu

sehemu ya watu waliohudhuria katika tamasha hilo