CASFETA-TAYOMI ni umoja wa wanafunzi wa kipentekoste, waliopo vyuoni na mashuleni(sekondari) na wadogo zetu wa shule za msingi(BCF)
UMOJO HUU huunganisha vijana wote waliookoka, katika misingi mikuu mitatu nayo ni
UMOJA,
ELIMU na UTAKATIFU.
Umoja huu, upo hapa chuo kikuu mzumbe,main campus, na ibada zetu zinafanyika katika shule ya sekondari, ADRIAN MKOBA kuanzia saa 12 jion mpaka saa 1 kamili.
Na tuna huduma za ibada za masaa ya kutosha(extended services) kutokana na ratiba inavyo pangwa.
KARIBU TUMWABUDU MUNGU WA HAKI NA KWELI KATIKA ROHO.
No comments:
Post a Comment