Wainjilisti LILIAN Kulia na BEATRICE kushoto, wakimsindikiza, muinjilisti wa siku ya pili, Ev. GROLY UHAGILE katikati
Ev. Groly Uhagile akiachilia Gombo katika viwanja vya makuyuni-korogwe TANGA
watu wakihudumiwa na wahudumu wanafunzi kutoka CASFETA-TAYOMI mzumbe chuo kikuu makuyuni soko la zamani, wilayani Korogwe-Tanga, february 2015
hata ikiwa mtu aweza kumshinda yule aliye peke yake, wawili watampinga (Mhubir 4:12). hii ya makuyuni ni zaidi ya wawili(waliookoka) shetani sio kapingwa ila kafukuzwa kabisa. bendera ya Yesu imesimamishwa.
ReplyDelete............chekecheo inakuja chekecheo yake Yesu wenye dini bila wataingia jehanamu..........................