Wednesday, October 26, 2016

KARIBUNI MWAKA WA KWANZA CHUONI MZUMBE - MOROGORO




Karibuni Mwaka Wa Kwanza Wote, Chuo Kikuu Mzumbe. Njoo Umwabudu Mungu pamoja nasi, Katika Hema Yetu ya Kukutania, Eneo: Kilimahewa, Jirani kabisa na Hope Hostel, na Kilimani Park-Kitimoto area.
Barikiwa mno kwa Kuchagua Fungu Jema.

Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana na namba za simu zilizoorodheshwa kwenye tangazo hapo juu.