katika uwanja wa makuyuni soko la zamani, jion ya tar.15/2/2015, team ya kusifu na kuabudu
wakihudumu katika mkutano, ikiwa ni siku ya kwanza ya mkutano
IT-bench wakichukua kumbukumbu muhimu za huduma
watumishi wakimsifu Mungu kwa vuvuzela na kupandisha bendera juu
,baada ya ngome kuanguka
ile team ya vuvuzela, wakimtukuza MUNGUkaka Paul Shila, na Noel Kulian wakiongoza vuvuzela team
ni wakati wa bendera ya YESU kupepea
kaka Allan katikati, dada Jeska kushoto, na kaka Samwel kulia, waki cheza steps kwenye mkutano
Ilikuwa ni shamrashamra kila mahali, sifa za BWANA zilivuma kwa kweli
Dada Lightness akisifu kwa VuVuzela
VuVuzela team, zamu hii ikiongizwa na kiongoz mahili Dada Jeska.
baadhi ya umati wa watu walioshiriki katika mkutano huo
Ev.LILIAN MWAIPELA, Akihubiri siku ya kwanza ya mkutano
Ev.Lilian Mwaipela
watu wakihudumiwa, waliokoka siku ya kwanza ya mkutano
No comments:
Post a Comment