Praise and worship team ya casfeta-tayomi. MZUMBE chuo kikuu..wakimtukuza MUNGU, katika ibada ya extend service ilIyo fanyika mnamo tarehe 10/01/2014 katika kanisa la Mzumbe Christian Center(TAG-MCC),
hapo chini ni dada Happy George akiongoza ibada ya kusifu na kuabudu.
Kaka Senje akipiga drum katika ibada hiyo
waimbaji waki mtukuza MUNGU
Dada Aneth, akimtukuza MUNGU katika ibada ya extended serviceo
Waimbaji binafsi Kaka Imani na Dada Caroline waki mtukuza MUNGU kwa pamoja
Brother Imani, aki mwazimisha na kumwabudu BWANA
Dada Caroline akimtukuza Mungu kwa matendo yake makuu
kaka David Meza aki msifu Mungu kwa kinanda
No comments:
Post a Comment