Thursday, March 31, 2016

CHAKWALE OUTREACH MISSION - Day 3

MATUKIO MBALIMBALI YA MKUTANO WA INJILI ULIOFANYWA NA WANACASFETA TAYOMI MZUMBE CHUO KIKUU, CHAKWALE - GAIRO 08/03/2016



Kikundi cha kusifu na kuabudu VOICE OF HEALING (VoH) cha Casfeta Tayomi Mzumbe chuo kikuu, wakimsifu Mungu.


 Praise Celebration zikiendelea.


 Mwinjilisti Alex Kiuko alihudumu siku hiyo


 Mwinjilisti Kelvin Ndonde naye alihudumu siku hiyo


 Baadhi ya watu waliofanikiwa kufika kwenye mkutano


 Wengi waliokoka na wote walifunguliwa kwa JINA LA YESU


 Watoto wa Chakwale waliombewa na wote walifunguliwa kwa JINA LA YESU

Eneo la kuombea wenye mapepo na wenye shida mbalimbali aka ICU, liliendelea na kazi kama kawaida




Tuesday, March 29, 2016

CHAKWALE OUTREACH MISSION - Day 2

MKUTANO WA INJILI ULIOFANYWA NA WANACASFETA TAYOMI CHUO KIKUU MZUMBE, 07/03/2016



 
 Kikundi cha kusifu na kuabudu cha VOICE OF HEALING (VoH) cha Casfeta-Tayomi Mzumbe Chuo Kikuu wakimsifu na kumuabudu Mungu

 
 Baadhi ya wanacasfeta Tayomi Mzumbe chuo kikuu wakimsifu Mungu


 Mwinjilisti Willy Leonard alihudumu siku hiyo


 Mwinjilisti Meshack Frank naye alihudumu siku hiyo


Watu waliombewa na wote walifunguliwa kwa JINA LA YESU
 


Watoto walipata fursa ya kufundishwa Neno la Mungu kupitia program ya Casfeta-Tayomi ya BETTER CHILDREN'S FOUNDATION (BCF)


 Eneo la kuombea wenye mapepo na shida mbali mbali, maarufu kama ICU



Sunday, March 27, 2016

CHAKWALE OUTREACH MISSION - Day 1

 MATUKIO MBALIMBALI YA MKUTANO WA INJILI ULIOFANYWA NA WANACASFETA TAYOMI CHUO KIKUU MZUMBE, KATIKA KIJIJI CHA CHAKWALE, 06/03/2016

Baadhi ya wanacasfeta Tayomi Chuo kikuu Mzumbe wakipakia mizigo mbalimbali itakayotumika katika Injili


 Mwenyekiti wa Casfeta Tayomi chuo kikuu Mzumbe, Ndg Michael G Kishiwa (katikati) akiteta jambo na baadhi ya wanacasfeta Tayomi chuo kikuu Mzumbe


 Baadhi ya wanacasfeta Tayomi chuo kikuu Mzumbe wakiwa na hamu na shauku kubwa ya kuelekea Chakwale kufanya Injili


 Baadhi ya wanacasfeta Tayomi chuo kikuu Mzumbe


 Kikundi cha kusifu na kuabudu  VOICE OF HEALING (VoH) cha Casfeta Tayomi chuo kikuu Mzumbe wakihudumu katika Mkutano (Chakwale)


 Baadhi ya umati uliofanikiwa kufika kwenye Mkutano


 OUR OUTREACH MOTTO


 Wachungaji wenyeji wa makanisa mbalimbali ya Chakwale wakitambulisha Vijana wa Casfeta Tayomi chuo kikuu Mzumbe, na kusudi letu mahali hapo

Baadhi ya umati uliofanikiwa kufika kwenye Mkutano

 





 Wainjilisti Witness Kalemera (kushoto) na Prisca Nchimbi (kulia) walihudumu siku hiyo


 Sehemu ya kuombea wenye mapepo na wenye shida mbalimbali, aka ICU



 Mwenyekiti wa OUTREACH, Ndg Lonyori Mengerana.