Friday, February 6, 2015

Wanacasfeta-Tayomi MZUMBE CHUO KIKUU wafanya ibada ya kufunga semister, tar. 31/1/2015


 kikundi cha kusifu na kuabudu cha wana casfeta-tayomi,Mzumbe chuo kikuu, kikimtukuza MUNGU katika ibada hyo.
 
wanacasfeta wa mzumbe chuo kikuu, wakicheza mbele za Mungu, katika ibada ya kusimu na kuabudu








Mapacha wasio fanana, kaka Erick Kanju na David Meza, waki msimu MUNGU kwa vinanda
 Watumishi wa Mwaka wa tatu, waki mtukuza Mungu katika kwaya yao maalumu

Mwimbaji binafsi Imani kusaga na Dada  Caroline, wakimtukuza Mungu

 Mwalimu wa Neno la Mungu kaka Daudi Lubeleje akimtukuza MUNGU katika ibada ya kufunga semister

Priska Nchimbi, akimtukuza MUNGU katika Ibada ya kufunga semister

kaka Samuel Kazimili, ambaye pia ni mwenyekiti wa casfeta-Tayomi mzumbe chuo kikuu, akitoa memo la shukrani kwa ajili ya staggered semister

Mwalimu wa neno la MUNGU, Daniel John ambaye pia ni makamu mwenyekiti wa casfeta-Tayomi, mzumbe chuo kikuu, akifundisha neno la Mungu, katika ibada ya kufunga semister iliyo fanyika mnamo tar 31/1/2015


baadhi ya umati wa wanacasfeta-tayomi, wakifatilia kwa makini NENO la MUNGU, kutoka madhabahuni kupitia kinywa cha mtumishi wa MUNGU, Daniel John.
Mwal. Daniel John akisisitiza jambo, alipo kuwa akifundisha.


1 comment: