Wednesday, January 7, 2015

wana casfeta-tayomi wa mzumbe chuo kikuu, wafundishwa semina ya mahusiano

Rev: Denis  wa kanisa la EAGT-chamwino MORORGORO....akifundisha semina ya mahusiano, jinsi gani ya kumpata mwenzi mwema wa maisha.

Watumishi wa Mungu, wakifuatilia semina ya mahusiano kwa makini kabisa...

 Kaka Goodluck Mgimba, kiongozi wa mahusiano, Casfeta-tayomi, tawi la mzumbe chuo kikuu akichangia mada katika semina hiyo



Ev. Noel Kulian akichangia jambo katika semina ya mahusiano iliyo fanyika mnamo
 Mwenyekiti wa Casfeta-Tayomi, Br. Samweli Kazimili akisoma maswali yalio ulizwa juu ya namna gani inafaa kumpata mwenzi sahihi wa maisha, kwa utakatifu wa kweli
kiongozi wa kusifu na kuabudu, dada Happy George, akichangia jambo katika semina ya mahusiano



Ev. Beatrice Chua, akichangia hoja, katika semina ya mahusiano

No comments:

Post a Comment