Wednesday, February 25, 2015

DAY.1 AT MAKUYUNI OUTREACH-MISSION

JUMAPILI YA TAR.15/2/2015...Tulishiriki ibada katika kanisa la makuyuni-ebenezer(T.A.G), na kuhudumu

katika uwanja wa makuyuni soko la zamani, jion ya tar.15/2/2015, team ya kusifu na kuabudu
wakihudumu katika mkutano, ikiwa ni siku ya kwanza ya mkutano

IT-bench wakichukua kumbukumbu muhimu za huduma

watumishi wakimsifu Mungu kwa vuvuzela na kupandisha bendera juu
,baada ya ngome kuanguka
 ile team ya vuvuzela, wakimtukuza MUNGU

 kaka Paul Shila, na Noel Kulian wakiongoza vuvuzela team
 ni wakati wa bendera ya YESU kupepea
 kaka Allan katikati, dada Jeska kushoto, na kaka Samwel kulia, waki cheza steps kwenye mkutano
 Ilikuwa ni shamrashamra kila mahali, sifa za BWANA zilivuma kwa kweli
 Dada Lightness akisifu kwa  VuVuzela
 VuVuzela team, zamu hii ikiongizwa na kiongoz mahili Dada Jeska.


baadhi ya umati wa watu walioshiriki katika mkutano huo

Ev.LILIAN MWAIPELA, Akihubiri siku ya kwanza ya mkutano






 Ev.Lilian Mwaipela


watu wakihudumiwa, waliokoka siku ya kwanza ya mkutano

OUTREACH-MISSION FROM 14-21 FEBRUARY 2015

Maandalizi ya safari-tukiwa Mzumbe christian centre.(MCC), Safari ilipo anzia



baadhi ya wana casfeta-tayomi, wakijiandaa kwa safari



































Friday, February 6, 2015

Wanacasfeta-Tayomi MZUMBE CHUO KIKUU wafanya ibada ya kufunga semister, tar. 31/1/2015


 kikundi cha kusifu na kuabudu cha wana casfeta-tayomi,Mzumbe chuo kikuu, kikimtukuza MUNGU katika ibada hyo.
 
wanacasfeta wa mzumbe chuo kikuu, wakicheza mbele za Mungu, katika ibada ya kusimu na kuabudu








Mapacha wasio fanana, kaka Erick Kanju na David Meza, waki msimu MUNGU kwa vinanda
 Watumishi wa Mwaka wa tatu, waki mtukuza Mungu katika kwaya yao maalumu

Mwimbaji binafsi Imani kusaga na Dada  Caroline, wakimtukuza Mungu

 Mwalimu wa Neno la Mungu kaka Daudi Lubeleje akimtukuza MUNGU katika ibada ya kufunga semister

Priska Nchimbi, akimtukuza MUNGU katika Ibada ya kufunga semister

kaka Samuel Kazimili, ambaye pia ni mwenyekiti wa casfeta-Tayomi mzumbe chuo kikuu, akitoa memo la shukrani kwa ajili ya staggered semister

Mwalimu wa neno la MUNGU, Daniel John ambaye pia ni makamu mwenyekiti wa casfeta-Tayomi, mzumbe chuo kikuu, akifundisha neno la Mungu, katika ibada ya kufunga semister iliyo fanyika mnamo tar 31/1/2015


baadhi ya umati wa wanacasfeta-tayomi, wakifatilia kwa makini NENO la MUNGU, kutoka madhabahuni kupitia kinywa cha mtumishi wa MUNGU, Daniel John.
Mwal. Daniel John akisisitiza jambo, alipo kuwa akifundisha.