mpiga dramu akimsifu Mungu
mpiga besi gitaa Bro. Hafsidi akimtukuza Mungu
Kaka David Meza kulia na Kaka Erick Kanju kushoto wakimtukuza Mungu kwa kinanda na piano
Kaka Calvin Ponda akimtukuza Mungu kwa Ngoma(malumba)
Sauti ya tatu wakiigia ukumbini
Sauti ya pili wakiingia ukumbini
Sauti ya kwanza wakiingia ukumbini
Kiongozi wa sifa No.1 dada Groly Uhagile akiongoza sifa
Kiomgozi wa sifa No.3 kaka Joseph Mnembuka akiongoza sifa
Kiongozi wa sifa No.4 dada Sophia Godfrey akiongoza sifa
Kiongozi wa sifa No.2 kaka Nathanieli Senje
kaka elia Mhenga, mwenyekitu wa kamati ya kusifu na kuabudu aki simamia nyimbo zinazo rushwa moja kwa moja kwenye projecta. |
Mgeni Rasmi ambaye pia ni mkurugenzi mkuu wa Muruwasa akihudumu kwa neno
MCC kwaya kutoka TAG- Mzumbe wakihudumu
kings chour kutoka CAG -morogoro mjini wakihudumu
kikundi cha TUKASA mzumbe chuo kikuu wakimsimfu Mungu
IT-Bench dada Perazia akichukua matukio muhimu katika tamasha la kusifu na kuabudu
Shughuli za ujasiriamali zili endelea wakati wa tamasha
Baadhi ya wana USCF wakimtukuza Mungu katika tamasha
kikundi alikwa kiki mtukuza Mungu
meza kuu wakimwabudu Mungu