MATUKIO KATIKA PICHA YA TAMASHA LA KUMSHUKURU MUNGU LA KUSIFU NA KUABUDU LILILO FANYIKA TAREHE 5/6/2015 VIWANJA VYA LUMUMBA GARDEN MZUMBE UNIVERSITY-MAIN CAMPUS MOROGORO
Tamasha hili liliandaliwa na wana casfeta-tayomi wa chuo kikuu mzumbe, wakishirikiana na Kiango media group kutoka Dar-es salaam.
Maandalizi ya tamasha wakati wa mchana kabla ya tamasha
Picha mbalimbali za kipindi cha kusifu na kuabudu wakati wa tamasha...huu ulikuwa wakati wa usiku,tamasha lilipo anza.
Kaka Samwel Kazimili(mwenyekiti wa casfeta-tayomi Mzumbe university) akimsifu Mungu.
Baadhi ya umati wa watu waki msifu Mungu.
Meza kuu, waki mwazimisha MUNGU ,katikati ni Askofu Ryoba wa kanisa La CAG-morogoro mjini
baadhi ya KING's choir pichani kutoka CAG kwa Askofu Ryoba, waki mtukuza MUNGU
Askofu Ryoba pichani, akihudumu kwa neno kwenye "ThanksGiving Concert " Mzumbe Chuo kikuu
Mwimbaji Paul Clement akiimba katika tamasha hilo, na waitikiaji wake walikuwa ni Kings Choir kutoka CAG-morogoro mjini
Paul Clement
Mwimbaji Atosha Kisavo, alihudumu katika tamasha hilo.
ATOSHA KISAVO