MATUKIO MBALIMBALI YA MKUTANO WA INJILI ULIOFANYWA NA WANACASFETA TAYOMI MZUMBE CHUO KIKUU, CHAKWALE - GAIRO 08/03/2016
Kikundi cha kusifu na kuabudu VOICE OF HEALING (VoH) cha Casfeta Tayomi Mzumbe chuo kikuu, wakimsifu Mungu.
Praise Celebration zikiendelea.
Mwinjilisti Alex Kiuko alihudumu siku hiyo
Mwinjilisti Kelvin Ndonde naye alihudumu siku hiyo
Baadhi ya watu waliofanikiwa kufika kwenye mkutano
Wengi waliokoka na wote walifunguliwa kwa JINA LA YESU
Watoto wa Chakwale waliombewa na wote walifunguliwa kwa JINA LA YESU