Karibuni Mwaka Wa Kwanza Wote, Chuo Kikuu Mzumbe. Njoo Umwabudu Mungu pamoja nasi, Katika Hema Yetu ya Kukutania, Eneo: Kilimahewa, Jirani kabisa na Hope Hostel, na Kilimani Park-Kitimoto area.
Barikiwa mno kwa Kuchagua Fungu Jema.
Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana na namba za simu zilizoorodheshwa kwenye tangazo hapo juu.