Thursday, April 7, 2016

HUDUMA YA MAHUSIANO - CHAKWALE GAIRO

MATUKIO MBALIMBALI YA HUDUMA YA MAHUSIANO ILIYOFANYWA NA WANACASFETA TAYOMI MZUMBE CHUO KIKUU - 10/03/2016

 Tulipata nafasi ya kuwasaidia na kusema nao juu ya Neno la Mungu pia.

 Tunamshukuru Mungu kwa alichotupa, nasi tulitoa kwa moyo wote

 Tulipata fursa ya kukaa nao chini na kuongea mambo mbalimbali

 Walengwa walikuwa ni wazee, na watu wasiojiweza

Mungu Akubariki kwa yeyote uliyehusika kufanikisha hii huduma ya Injili ya Chakwale.

MOTIVATIONAL SEMINAR 11/04/2016 - 14/04/2016


Uongozi wa Casfeta Tayomi unapenda kukukaribisha katika MOTIVATIONAL Seminar itakayoanza tarehe 11/04/2016 mpaka 14/04/2016. Mhubiri atakuwa ni Rev Richard Chidundo kutoka God's Kingdom Family Ministries, vile vile utapata nafasi ya KUMJUA ZAIDI MUNGU katika Semina hii, kama moja ya somo katika mpangilio wa masomo yatakayofundishwa.






MUNGU AKUBARIKI SANA


Monday, April 4, 2016

CHAKWALE OUTREACH MISSION - Day 5

MATUKIO MBALIMBALI YA SIKU YA TANO YA HUDUMA YA INJILI ILIYOFANYIKA CHAKWALE - GAIRO 10/03/2016


VOICE OF HEALING (VoH) wakimsifu Mungu






 Mwinjilisti Innocent Mapesa alihudumu siku hiyo

Umati uliofanikiwa kufika kwenye mkutano





 Wengi waliokoka na walifunguliwa kwa JINA LA YESU




Saturday, April 2, 2016

CHAKWALE OUTREACH MISSION - Day 4

MATUKIO YA CHAKWALE OUTREACH MISSION - Day 4               09/03/2016


 Waongofu wapya wakifundishwa NENO LA MUNGU na Mwalimu Shalom, namna ya kuishi kwenye wokovu


 VOICE OF HEALING Choir wakimsifu Mungu katika Roho na Kweli


 Praise Celebration ziliendelea katika viwanja vya mkutano


 Mwinjilisti Theopista Mutajwa alihudumu siku hiyo

Umati wa watu waliofanikiwa kufika kwenye mkutano







 Wengi walimpokea Yesu kuwa BWANA na Mwokozi wa maisha yao




Wote waliowekewa mikono walifunguliwa kwa JINA LA YESU




Eneo la maombi (ICU) iliendelea na kazi kama kawaida na wote waliofika eneo hili walifunguliwa hakika kwa JINA LA YESU