MATUKIO YA CHAKWALE OUTREACH MISSION - Day 4 09/03/2016
Waongofu wapya wakifundishwa NENO LA MUNGU na Mwalimu Shalom, namna ya kuishi kwenye wokovu
VOICE OF HEALING Choir wakimsifu Mungu katika Roho na Kweli
Praise Celebration ziliendelea katika viwanja vya mkutano
Mwinjilisti Theopista Mutajwa alihudumu siku hiyo
Umati wa watu waliofanikiwa kufika kwenye mkutano
Wengi walimpokea Yesu kuwa BWANA na Mwokozi wa maisha yao
Wote waliowekewa mikono walifunguliwa kwa JINA LA YESU
Eneo la maombi (ICU) iliendelea na kazi kama kawaida na wote waliofika eneo hili walifunguliwa hakika kwa JINA LA YESU
No comments:
Post a Comment