MATUKIO MBALIMBALI YA HUDUMA YA MAHUSIANO ILIYOFANYWA NA WANACASFETA TAYOMI MZUMBE CHUO KIKUU - 10/03/2016
Tulipata nafasi ya kuwasaidia na kusema nao juu ya Neno la Mungu pia.
Tunamshukuru Mungu kwa alichotupa, nasi tulitoa kwa moyo wote
Tulipata fursa ya kukaa nao chini na kuongea mambo mbalimbali
Walengwa walikuwa ni wazee, na watu wasiojiweza
No comments:
Post a Comment